Matayo 14:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini alipoona upepo mkali aliingiwa na hofu, akaanza kuzama, huku akipiga kelele, “Bwana, niokoe!”