Matayo 14:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mara Yesu akanyoosha mkono wake, akamshika, akamwambia, “Wewe mwenye imani haba, kwa nini ulikuwa na shaka?”