Matayo 14:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akamwambia, “Njoo.” Basi Petro akatoka katika mashua, akatembea juu ya maji akimfuata Yesu.