Matayo 14:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Petro akamjibu, “Bwana, kama ni wewe, niambie nije kwako nikitembea juu ya maji.”