1 Wakorintho 7:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini kwa wengine nasema, si Bwana ila ni mimi: kama ndugu ana mke asiyeamini, na huyo mke amekubali kuishi pamoja naye, basi asimpe talaka.