1 Wakorintho 7:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na kama mwanamke mwamini ameolewa na mwanaume asiyeamini, na huyo mwanaume amekubali kuishi naye, basi huyo mwanamke asimpe talaka.