1 Wakorintho 7:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini kama akimwacha, ni lazima akae bila kuolewa, ama sivyo apatane tena na mumewe. Na mume asimpe mkewe talaka.