Yohana 6:58

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Huu ndio mkate uliotoka mbinguni, si kama ule mkate walio kula baba zenu hatimaye wakafa. Alaye mkate huu ataishi milele.”