Yohana 6:57

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama vile Baba wa uzima alivyonituma, na kama nipatavyo uzima kutoka kwake, kadhalika, ye yote anilaye ataishi kwa sababu yangu.