Yohana 6:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu walipoona muujiza huu alioufanya Yesu, wakasema, “Hakika huyu ndiye yule Nabii tuliyekuwa tukimtazamia!”