Yohana 6:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi wakakusanya vipande vya ile mikate mitano, wakajaza vikapu kumi na viwili.