Yohana 4:35

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Si mnao msemo kwamba, ‘Bado miezi minne tutavuna’? Hebu yaangalieni mashamba, jinsi mazao yalivyoiva tayari kuvunwa!