Yohana 4:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Yesu akawajibu, “Chakula changu ni kufanya mapenzi ya Mungu ambaye amenituma, na kuikamilisha kazi yake.