Yohana 3:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na hukumu yenyewe ni kwamba: Nuru imekuja ulimwenguni lakini watu wakapenda giza kuliko nuru kwa sababu matendo yao ni maovu.