Yohana 3:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakumwamini Mwana pekee wa Mungu.