Yohana 3:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hakuna mtu ye yote ambaye amewahi kwenda juu mbinguni isipokuwa mimi Mwana wa Adamu niliyeshuka kutoka mbinguni.