Yohana 3:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ikiwa hamuniamini ninapowaambia mambo ya duniani, mtaniaminije nitakapowaambia habari za mbinguni?