Yohana 2:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha akawaambia, “Sasa choteni maji kidogo mumpelekee mkuu wa sherehe.” Wakachota, wakampelekea.