Yohana 2:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawaambia wale watumishi, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Wakaijaza mpaka juu.