Yohana 18:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo Pilato akatoka nje kuwaona akawauliza, “Mmeleta mashtaka gani kumhusu mtu huyu?”