Yohana 11:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wale Wayahudi waliokuwa wakimfariji Mariamu walipoona ameondoka haraka, walidhani anakwenda kaburini kuomboleza, kwa hiyo wakamfuata.