Yohana 11:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu alikuwa bado hajaingia kijijini. Alikuwa bado yuko pale Martha alipokutana naye.