Warumi 10:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini haki itokanayo na imani husema hivi, “Usiseme nafsini mwako, ‘Ni nani atapaa mbi nguni?”’ yaani kumleta Kristo duniani,