Warumi 10:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Musa anaandika kwamba mtu anayejaribu kutenda haki kwa msingi wa sheria ataishi kwa sheria.