Wagalatia 5:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninyi mnaotafuta kuhesabiwa haki kwa njia ya sheria fahamuni kwamba mmetengwa na Kristo, mko mbali na neema ya Mungu.