Wagalatia 5:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tena, napenda kumshuhudia kila mmoja wenu anayekubali kutahiriwa kwamba inampasa kushika sheria zote.