Waefeso 4:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ondoeni kabisa chuki yote, ghadhabu, hasira, ugomvi na matusi, pamoja na kila aina ya uovu.