Waefeso 4:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu ambaye ni mhuri wenu wa uthibitisho kwa siku ya ukombozi.