Ufunua Wa Yohana 18:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wale wafanya biashara wa bidhaa hizo waliopata utajiri wao kwake watasimama mbali kabisa kwa kuogopa mateso yake, nao watalia na kuomboleza kwa nguvu wakisema,