Ufunua Wa Yohana 18:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
‘Ole wako! Ole wako! mji mkuu, ulikuwa umevikwa mavazi ya kitani safi, rangi ya zambarau na nyekundu, uking’aa kwa dhahabu na vito vya thamani na lulu!