Ufunua Wa Yohana 18:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watasema, ‘Yale matunda ambayo roho yako iliy atamani yametoweka, na utajiri wako wote na ufahari vimetoweka, wala hutavipata kamwe!’