Ufunua Wa Yohana 18:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na wafanya biashara wa duniani watalia na kuomboleza kwa maana hakuna anunuaye bidhaa zao tena.