Ufunua Wa Yohana 18:12
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)Bidhaa za dhahabu, fedha, vito vya thamani na lulu, kitani safi, nguo za rangi ya zambarao, hariri, na nguo nyekundu, aina zote za mti wa udi, vifaa vya meno ya tembo, vifaa vyote vya mbao ya thamani, shaba, chuma na marumaru,