Ufunua Wa Yohana 18:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watasimama mbali kwa hofu ya mateso yake na kusema, “Ole wako! Ole wako, mji mkuu, Babiloni, mji wenye nguvu! Hukumu yako imekuja katika saa moja!”