Matendo Ya Mitume 8:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi mitume waliokuwa Yerusalemu waliposikia kuwa watu wa Samaria wameamini neno la Bwana, waliwatuma Petro na Yohana waende huko.