Matendo Ya Mitume 8:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hata Simoni naye aliamini na alipokwisha batizwa aliambatana na Filipo. Alipoona ishara na miujiza aliy ofanya Filipo alistaajabu sana .