Matendo Ya Mitume 27:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kulipokucha, mabaharia hawakuitambua ile nchi, lakini waliona ghuba yenye ufuko wa mchanga ambako walitaka waielekeze meli kama ingewezekana, ili wafike pwani.