Matendo Ya Mitume 27:40

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo wakatupa nanga zote baharini, wakalegeza kamba zilizokuwa zikishikilia usukani wa meli, na kutweka tanga la mbele lishike upepo na kuisukuma meli kuelekea pwani.