Matendo Ya Mitume 27:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baada ya wote kula chakula cha kutosha, wakapunguza uzito wa meli kwa kutupa ngano baharini.