Matendo Ya Mitume 23:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo akamwita mmoja wa wale maaskari akamwambia, “Mchukue kijana huyu kwa jemadari, ana neno la kumwambia.”