Matendo Ya Mitume 23:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi kumbe binamu yake Paulo alisikia kuhusu mpango huu. Akaenda katika ngome ya jeshi akamweleza Paulo mambo haya.