Matendo Ya Mitume 23:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule askari akamchukua yule kijana mpaka kwa jemadari akamwambia, “Yule mfungwa Paulo aliniita akaniambia nimlete huyu kijana kwako, kwa sababu ana neno la kukuambia.”