Matendo Ya Mitume 21:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Habari hizi zikawachochea watu wa mji mzima nao wakakimbia pamoja kwa hasira wakamkamata Paulo wakamtoa nje ya Hekalu. Milango ya Hekalu ikafungwa.