Matendo Ya Mitume 21:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walisema hivi kwa sababu walimwona Trofimo, mwenyeji wa Efeso, akiwa mjini na Paulo wakadhani kuwa Paulo alikuwa amemleta Hekaluni .