Matendo Ya Mitume 20:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Alipokuwa akisafiri, aliwapa waamini katika sehemu zote alizopita maneno ya kuwatia moyo, ndipo akaenda Ugiriki