Matendo Ya Mitume 20:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Fujo zilipokwisha, Paulo aliwaita wanafunzi pamoja akawa tia moyo halafu akawaaga. Akaanza safari yake ya kwenda Makedo nia.