Matendo Ya Mitume 19:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo akasema, “Yohana alipobatiza, aliwaambia watu watubu dhambi na kumwamini atakayekuja baada yake, yaani, Yesu.”