Matendo Ya Mitume 19:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndipo Paulo akawauliza, “Mlibatizwa ubatizo gani?” Wakajibu, “Ubatizo wa Yohana.”