Matendo Ya Mitume 19:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama Demetrio na mafundi wenzake wana mashtaka juu ya mtu ye yote, mahakama ziko wazi na mahakimu wapo; wachukue hatua za kisheria.