Matendo Ya Mitume 19:37

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana mmewaleta hawa watu wawili hapa ingawa wao hawaja fanya uharibifu wo wote kwa hekalu la Artemi au kusema maneno ya kufuru juu ya huyu mungu wetu mwanamke.